Tuesday, February 21, 2017

U-HEARD: BASATA kuhusu ishu ya Nikki Mbishi na kwenda Central Police

Tags


U-heard ya leo February 21 2017 inamuhusu Nikki Mbishi baada ya kusema anarudi tena BASATA baada ya jana kusema anaelekea BASATA kisha Central Police kama ailivyoagizwa na kudai kuwa bado uchambuzi wa mustakabali wa Iam sorry JK unaendelea.
XXL ya CloudsFM kupitia Soudy Brouwn imemtafuta kwa simu Nikki Mbishi lakini hakupatikana, akatatafutwa Katibu waBASATA ambaye majibu yake ni haya hapa chini.
“Jana sikuwa ofisini nilikua na kazi nje ya ofisi huku Wizarani, sasa maswala ya msemaji Polisi sio BASATA.. Kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kulizungumzia vizuri zaidi au ukawatafuta polisi”
Hicho alichokizungumzia nadhani kwa kosa inawezekana sahihi  yeye ndio mwenye wimbo na anaweza kuizungumzia kazi yake yeye kama msanii mbunifu
Bonyeza Play kusikiliza full story..


EmoticonEmoticon

Kichuyaaaaaaa: Tanzania 2 v DRC 0