'
Marko maluli
Linex ni mwimbaji mwingine hodari kutoka kwenye bongofleva ambapo time hii ameipa millardayo.com nafasi ya kipekee kwa kuachia wimbo wake yaGOSPEL unaitwa “Yaongoze” ukishausikiliza usisahau kuacha comment yako mtu wa nguvu
VIDEO: Mimi Mars, mdogo wake Vanessa Mdee kaingia kwenye Bongo Flavour…. bonyeza play hapa chini
EmoticonEmoticon