Tuesday, March 28, 2017

Magazeti ya Tanzania March 28, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo

Tags


Marko maluli
Good Morning mtu wa nguvu, leo ni March 28 2017 na kama ilivyo kawaida yangu ya kila siku alfajiri nimekusogezea habari kubwa kwenye Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kuanzia yaUdakuHardnews na Michezo ili ujUe kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu
Ulimiss VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompeigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake na Lowassa, Bonyeza play hapa chini kutazama

Rais Magufuli asema Nay wa Mitego aachiwe na Ngoma yake inayopondea Seri...

Tags

FULLVIDEO: Alichoongea Nay wa Mitego baada ya kuachiwa na polisi

Tags

Maneno ya Nape Nnauye baada ya Nay wa Mitego kuachiwa

Tags


Marko maluli
Baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe, March 27, 2017 kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi  kumuchia huru msanii wa Bongo Fleva Nay wa Mitegona kutaka wimbo wake ‘Wapo’ uchezwe kwenye vyombo mbalimbali.
Sasa aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa twitter hakuweza kuficha hisia zake juu ya maamuzi ambapo aliyaandika haya……>>>>> “Matumizi ya nguvu sana hayalipi! Kurekebisha kwa upendo hulipa! Hongera Rais, Hongera Mwakyembe kwa uamuzi wa Busara dhidi ya muziki wa Ney!” – Ney wa Mitego.

VIDEO: Agizo la serikali kwa Polisi kumuachia huru Nay wa mitego na kuruhusu wimbo wa ‘Wapo’. Bonyeza play hapo chini kutazama.

VIDEO: Nay wa Mitego ajibu kuhusu kudaiwa kutumika kisiasa

Tags


Marko maluli
Msanii  kutoka Bongoflevani Nay wa Mitego amezidi kuzichukua headlines baada ya leo Serikali kutoa agizo la kuachiwa na Polisi alipokuwa anashikiliwa kutokana na wimbo wake wa ‘WAPO’ kudaiwa kuwa hauna maadili.
Baada ya kuachiwa na Polisi kituo cha TV cha Azam wamefanya interview na Nay wa Mitego na wamemuuliza mambo mbalimbali ikiwemo kudaiwa kutumika kisisasa, Bonyeza play hapa chini kufahamu alichokijibu Nay wa Mitego
FULLVIDEO: Alichoongea Nay wa Mitego baada ya kuachiwa na polisi,Bonyeza play hapa chini kutazama 

Friday, March 24, 2017

Agizo la Waziri Nchemba kwa aliyemtishia Bastola Nape Nnauye

Tags

Marko maluli

Kitendo cha mtu kumtolea Bastola, Sio cha kiaskari, sio cha kitanzania na sio cha ki Mungu, kama mtu ameweza kutoa Bastola mbele ya Kamera nawaza mbali ingekuwa kwenye uchochoro angefanya nini‘ –Mwigulu Nchemba
Nahusika na Usalama wa Raia wote wa Tanzania, nimemwelekeza IGP atumie picha kumsaka mtu yule aliyeinua kufanya kitu cha kihalifu kwa kofia ya uaskari. Na kama ni Askari basi sheria zinazoongoza taasisi husika zichukue mkondo wake‘ –Mwigulu Nchemba
FULL VIDEO: Nape alivyozuiwa na Polisi “alietoa Bastola aje hapa’ 

Magazeti ya Tanzania March 24, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo

Tags


Marko maluli

Good Morning mtu wa nguvu, leo niMarch 24 2017 na kama ilivyo kawaida yangu ya kila siku alfajiri nimekusogezea habari kubwa kwenye Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kuanzia yaUdakuHardnews na Michezo ili ujUe kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu
Ulimiss VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompeigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake na Lowassa, Bonyeza play hapa chini kutazama

Kichuyaaaaaaa: Tanzania 2 v DRC 0