Leo February 23 2017 kupitia hekaheka ya Leo tena ya Clouds FM, Mtangazaji Geah Habib ameileta inayotokea Katavi kuhusu ndugu waliopewa maiti ambayo si ya ndugu yao na kuambiwa kuwa ile ya ndugu yao imechanganywa na imeshazikwa na manispaa.
Kusikiliza full stori, Bonyeza play hapa chini
HEKAHEKA: Ndugu wapewa maiti isiyo ya ndugu yao na kuzua taharuki Katavi,Bonyeza play hapa chini
EmoticonEmoticon