Baada ya kumalizika kwa hatua ya 32 bora ya michuano ya UEFA Europa League, Ijumaa ya February 24 katika mji wa Stockholm Sweden ilichezeshwa droo ya kupanga hatua ya 16 bora ya michuano hiyo, timu ya KRC Genkinayochezewa na Mbwana Samattaimepangwa kucheza na wapinzania waoKAA Gent.
KRC Genk imepangwa kucheza na KAA Genk zikiwa na timu zote zinazotokaUbelgiji, hivyo ushindani wa game hiyo hautakuwa wa kawaida, Man Unitedwao wamepangwa na FC Rostov yaUrusi.
![](https://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2017/02/Screen-Shot-2017-02-24-at-3.22.32-PM.png?resize=620%2C339)
FULL HD: All goals N’gaya vs Yanga February 12 2017, Full Time 1-5
EmoticonEmoticon