Wednesday, March 1, 2017

VIDEO: Jamaa yuko chakari alafu akahojiwa kuhusu viroba kupigwa marufuku

Tags


Pombe za viroba zimepigwa marufuku Tanzania kuanzia March 1 2017 na kuanzia hapo ukikutwa unauza au unatumia utapigwa faini au kwenda jela, ambapo baada ya hapo camera ya CloudsTV ilipita mtaani na kukutana na mmoja wa Watumiaji wa viroba ambae tayari alikua kapendeza……


EmoticonEmoticon

Kichuyaaaaaaa: Tanzania 2 v DRC 0