Friday, March 3, 2017

VIDEO: 'Msiwaogope wanajeshi, wapeni ushirikiano' - Mkuu wa Majeshi Tanzania

Tags


Marko maluli

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amewaondoa hofu wananchi wanapokutana na wanajeshi wanatakiwa kuwa na amani kwasababu wanatokana na watanzania hivyo wawachukulie kama ndugu zao na hawana nia mbaya yoyote
CDF Mabeyo ameyasema hayo akiwa ziarani mkoani Kagera kukagua maendeleo ya kurejesha miundombinu inayotengenezwa na vikosi vya jeshi baada ya  tetemeko la ardhi lililotokea mkoani humo September 10, 2016.
Mkuu wa Majeshi ametembelea kata ya Ishozi wilaya ya misenyi panapojengwa kituo cha afya na shule ya sekondari Omumwani panapojengwa mabweni.


EmoticonEmoticon

Kichuyaaaaaaa: Tanzania 2 v DRC 0