Home
Archives for 2018
Tuesday, March 27, 2018
Wednesday, March 14, 2018
Friday, March 9, 2018
MAPENZI MATAMU........MAPENZI ASALI,MAMBO 10 YA KUMFANYA MWENZI WAKO AJIONE NI BORA NA MWENYE MVUTO
Diterbitkan March 09, 2018
Tags
1. KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri. Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri anaona una mthamini kuliko msichana yeyote awaye.
2. Wakati wowote ukipata nafasi muandikie barua au msg kwenye simu mueleze hisia zako kiasi gani unampenda. Kumbuka wasichana hupenda kusikia zaidi kutoka kwa wapenzi wao ni kiasi gani wanapendwa. Haitakiwi iwe tu katika kipindi cha siku ya wapendanao ndio umuoneshe kuwa unampenda. Muoneshe msichana ni kiasi gani yeye ni muhimu sana kwako.
3. Busu la ghafla na kumshika mkono wakati mkitembea pamoja itamfanya yeye kujisikia raha zaidi. Na wakati mwingine msuprise kwa kumtembelea mara kwa mara hi humfanya akuone wewe ni mtu muhimu pale usipokuwa naye karibu na kumfanya kukuhitaji zaidi ukiwa naye mbali
4. Tambua mahitaji yake. Uwe msaada kwake kipindi ambacho mpenzi wako amekasirika kuwa pale kwa ajili yake na ukimpooza kwa sauti ya upole na mahaba. Utashangazwa sana na kiasi gani msaada huo umeleta mabadiliko kwake. Hakikisha unamsaidia katika shida zake hapa ndipo kuna tatizo kwa wavulana wengi. Mapenzi si pesa lakini kuna kipindi ambacho pesa huitajika kulinda penzi lako. Si msichana anapokuomba pesa ina maana ana nia ya kukuchuna au amekupendea pesa kuna shida nyingine inabidi akuombe wewe tena kwa kukupima kama utakuwa tayari kumsaidia.
5. Mchukue mpenzi wako out mara nyingine itamfanya ajisikie furaha sana kwa sababu wasichana hupenda enjoyment na boyfriend zao. Hii haitamfanya mpenzi wako tu kuwa na furaha bali itawafanya nyie kwa pamoja kujuana na kufahamiana zaidi.
6. Kuwa muwazi kwake usimfiche jambo linalokuhusu. Msichana hupenda kutoa ushauri kwa mtu ampendaye hivyo unapokuwa muwazi atajisikia kuthaminiwa nawe na kukuona umemuamini
7. Ukijiona upo busy sana usithubutu kuacha japo kumpigia simu mara mbili kwa siku hata kama ukishindwa kumpigia wakati upo ofisini darasani au kwingineko hakikisha unapopata nafasi japo ujumbe mfupi wa kumwambia unampenda.
8. Mkumbatie mara kwa mara katika tukio la kumbatizi kuna jambo kubwa sana hutokea. Si kwake tu hata kwako mvulana. Hali ya joto lenu huwaweka pamoja kifikra hata pale msipokuwa pamoja.
9. Epuka maugomvi na hasira za mara kwa mara ukiwa nae. Mwanamke hupenda ustaarabu kwa mtu ambaye yupo serious naye hivyo ukionesha hasira kabla hata hujamtongoza unaweza ukamkosa msichana hivihivi wasichana huwaogopa wavulana wenye hasira na wagomvi kwa sababu hupenda kubembelezwa.
10. Mdekeze. Msichana anapenda kudeka anaenda kudeka sana na kubembelezwa sana hivyo mvulana ukidekewa usikasirike eti huyu msichana kazidi wewe ndio wakati wako wa kumuonesha msuchana wako unampenda mdekeze mpaka aone aibu kudeka siku nyingine. Wasichana wameumbwa kwa jili ya wavulana ndio maana hudeka hii ndiyo silaha pekee na ya mwisho kumpata msichana hata kamasi wako ni wa rafiki yako unaweza ukatumia silaha hii kumpora msichana huyo kwa mwenzio usipojua kudekeza utaachwa pia.
Thursday, March 8, 2018
Wednesday, March 7, 2018
UZURI WA SURA UENDANE NA USAFI WA MWILI
Diterbitkan March 07, 2018
Tags
Na MARKO MALULI
Imepakiwa-wednesday march 07-2018 at 20:02 PM
Habarini ndugu wasomaji wa makala hii ,leo naenda kuzungumzia wale marafiki zangu ambao muonekano wao wa nje ukiwaona ni nadhifu lakini ukiangalia ndani KAHARUFU (SMELL) KANAPENYEZA
Nywele
Iwapo nawe uko kwenye kundi hili, jiulize iwapo sisi wapita njia tunastushwa na harufu kali ya nywele zako, vipi mzee unayelala naye kitanda kimoja kila siku?
Mdomo
Halafu kuna wale wenye harufu mbaya mdomoni. Akifunua mdomo kuzungumza, lazima utageuza sura upande mwingine. Kwani ndani ya huo mdomo itatoka harufu ya samaki, sambusa, pilau na hata mahamri aliyokula jana ama mchana. Kwa kifupi akina dada hawa hawajui kusafisha midomo hadi iwe shwari na iwe na harufu mwanana. Pamoja na kwamba harufu hii huwa ni dalili ya ugonjwa wakati mwingine wa mdomo, ni muhimu kujali usafi kabla ya kufikiria masuala ya kumwona daktari.
Kwapa
Kuna wale shoga zangu ambao wakipita mahali watu wote wanageuka, sio kwa kufurahia alivyoumbwa, bali harufu kali ya kwapa inayoambatana naye. Yaani wewe ukipita mahali, watu wanageuza shingo na wengine wanatema mate, kisa ni harufu ya kwapa lako. Naye mumeo hana amani nyumbani, labda anashindwa kukwambia kwamba harufu ya jasho lako ni mateso makubwa kwake. Usafi wa kwapa ni muhimu kila unapooga.
Sehemu nyeti
Mwanakwetu, sehemu nyeti inatakiwa iwe katika mandhari nzuri wakati wote. Ukienda kujisaidia haja ndogo, jipanguse ama jitawaze na maji safi. Isiwe ukitoa nguo ya ndani tu, mzee anakunja sura kutokana na harufu kali. Akimaliza raundi moja, hataki kurudisha daruga lake uwanjani. Kwani mazingira ya ikulu hayamvutii hata kidogo.
Miguu
Kuna wale shoga zangu ambao akivua viatu, chumba hakikaliki tena kutokana na harufu kali inyotoka miguuni. Jamani, hata kama umevaa viatu vya kubana miguu, nawa na ipanguse kabla ya kuingia kwa mwenyewe.
Hivyo ni vijimambo tu, vinavyohitaji utundu kidogo. Mbona wengine wanajitunza vizuri? Kinachokushinda wewe ni kipi?
Mtoto wa kike upitishe siku bila kuoga, nani atakutamani? Au uoge mara moja pekee kwa siku, hapo vipi?
Tena wanaume wengine walivyo wambea, akipita na kusikia harufu ya kutatanisha, breki ya kwanza kwa rafiki zake. Akawasimulie jinsi unavyotoa harufu mbaya na usivyovutia. Kama ni mumeo, basi jiandae, kwani atavumilia kwa kiasi fulani na akichoka, atatafuta kule kwenye mandhari nzuri, ambako atapata tulizo la moyo wake.
Mwanamke anahitaji kuwa msafi. Na dawa ya kuwa msafi ni kuoga mara kwa mara. Na kuhakikisha unanawa maji mengi na kujipangusa vizuri.
Pamoja na yote haya, hii isiwe tiketi kwako kakangu, kumnyanyasa mkeo sababu anatoa harufu zisizofurahisha. Badala ya kumbagua, kumtenga ama kumsimanga, jaribu kuzungumza naye kwa upendo kwa madhumuni ya kumsaidia kupata suluhisho.
Na kuuliza kwako kuwe na utaratibu. Sio unaropoka maneno ambayo unajua bayana yatamuumiza roho mwenzako. Ukiona kwamba ukimwuliza atachukia, tumia njia mbadala ambayo unaona itapunguza makali ya maudhi yake.
MWANAMKE ..................USAFI
Diterbitkan March 07, 2018
Tags
Penda kutumia maji…..na siyo tissue!!!! Kutokana na wanawake kuwa na joto kali kutumia maji itasaidia kuondoa particles zote za mkojo pale unapojiswafisha….zingatia kutumia maji safi…..kuliko tissue ambazo zingine huwa laini mno…kwahiyo pale unapojisafisha…kuna chembechembe zingine hubaki na kusababisha muwasho….Pia hutoa harufu mbaya….mwilini!!! imagine unatoka jisaidia na unabaki na chembechembe……duuh inapunguza steam kwa mwenziyo pale mnapokuwa wote…..!!! nadhani nimeeleweka…
Usishinde na nguo ya ndani siku nzima!! Najua wengi tumeshazoea kukaa na nguo za ndani hata siku nzima…jamani kiafya haitakiwi….inashauriwa ubadilishe nguo ya ndani hata mara mbili au tatu kama ukiweza…tena hapo uifue na kuiloweka…..na uanike juani ili ikauke na mwanga na siyo upepo kama tulivyozoea……..
Usikae na pedi zaidi ya masaa matatu….. Tunapokuwa kwenye siku zetu….sijui ni ubahili au ulimbukeni…mi sielewi…mtu anaweza akashinda na pedi moja siku nzima….heee jamani ule ni uchfu unaotoka mwilini…unavyoshinda nao hivyo husababisha bacteria kutengenezwa ukeni…na kupata cancer ya kizazi…wanawake embu tufumbuke macho na kuwa wasafi jamani..huoni kama unakuwa na harufu mabaya mwilini????? au ni mazoea??? Kuwa msafi husaidia kuwa mrembo na hasa kuvutia na kujisikia huru mbele za watu…..Ukiwa katika siku zako, penda kujiswafisha mpaka ndani,,,hii itasaidia kupunguza siku za kuwa kwenye hedhi…kama huamini..basi jaribu…….!!! Kama ulikuwa unaingia mwezini kwa siku saba….zinaweza kupungua hata mpaka siku tatu…pale tuuu utakapojua kujiswafisha vizuri…na siku zilizobaki ukawa huru….
Tumia sabuni za kunukia….. Kuna wanawake wengine jamani wameumbwa kuwa na vikwapa vyenye harufu kali…siyo kosa lao….jamani lakini siku hizi kuna sabuni za kila aina ..basi jitahidi kutumia hizo ..au kuoga mara mbili kwa siku pia husaidia….tumia limao au ndimu pale unapooga kujisafisha makwapani… na sehemu zingine ambazo zimekakamaa kwa weusi wa kunyoa ……hii itasaidia kukata harufu mbaya na kuondoa ule weusi weusi sehemu hizo…….Unakuta mwanamke mzuuri, mrembo…but akinyanyua mkono loo…aibu tupu…jamani siku hizi kuna mpaka specialist wa ngozi kama imeshindikana basi nenda kawaone……
Kwa kumalizia tuu labda niseme….kwamba ukiwa msafi nje na hata ndani itakusaidia kuwa huru na mwenye furaha saa zote..huwezi kuwa unatoa harufu na ukawa na amani..au nadanganya??? please tujitahidi kufata hayo mambo niliyowaambia mzingatieeee……unakuta uko na mwenziyo mpaka anaona kero kukaa na wewe….inahusu jamani??? unamkatisha mwenziyo hamu kisa uchafu wako…..siyo lazima akwambie direct…lakini unaweza kujishtukia tuuu mtu hana mood tena ya kufanya tendo la ndoa…..!!!! ni hayo tuuuu………!!!!!
Mwandishi wenu Marko Maluli
Mwandishi wenu Marko Maluli
Tuesday, March 6, 2018
MATATIZO 10 YA UCHUMBA KUVUNJIKA
Diterbitkan March 06, 2018
Tags
Matatizo 10 ya ''chumba'' nyingi kuvunjika vunjika;
1. kukosa uaminifu katika mahusiano ya uchumba.
mojawapo ya matatizo yanayosababisha chumba nyingi kuvunjika ni suala la kukosa uaminifu na hii hufungulia mlango wa shetani kuwashambulia na hatimaye uchumba kuvunjika na wakati mwingine utawakuta wachumba wakiwa na mahusiano ya kimapenzi na watu wengine na hii husababisha uchumba kuvunjika
2.Roho ya tamaa ya maisha makubwa nje ya uwezo wao.
hali ya kutamani maisha makubwa ambayo nje na uwezo husababisha uchumba kuvunjika na wakati mwingine akijitokeza mtu mwingine ambaye anaonyesha dalili fulani za kuwa na mali au pesa zaidi ya yule mchumba huchangia kuvunjika kwa uchumba hivyo ni vizuri kulidhika na mchumba wako na muanze pamoja na MUNGU atawabarikia mkiwa pamoja.
3.Kujihusisha na tendo la ndoa kabla ya ndoa.
Hili nadhani ni tatizo kubwa labda huenda kuliko haya mengine na hili ni sumu kubwa sana inayovunja chumba za watu wengi, kwanza huondoa imani kwa wale wachumba wenyewe, mtu anawaza huyu kakubali kufanya mapenzi na mimi ipo siku atanichoka na kufanya na mwingine pia kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa huweza kugundua baadhi ya madhaifu na mapungufu aliyonayo mmoja wa wachumba hao na kuamua ikiwa hiki ndicho nakitarajia wakati ndoa mbona nitakuwa nimejitwika tanzi? na hivyo huvunja uchumba na wakati mwingine kuwatangazia watu madhaifu ya mchumba wake.
4.Kuanza kusemasema na kutangaza mapema kabla ya wakati muafaka.
kutangaza juu ya uchumba wenu kabla ya hatua za awali kumesababisha baadhi ya chumba kuvunjika unakuta hatua za awali kabisa kanisa zima wanajua,kila mtaa wanajua yaani kila mtu anajua hii husababisha mmoja ya wachumba kuona kuwa huyu mwenzangu hana siri na hawezi kutunza mambo huenda hata tutakapooana hataweza kutunza siri hivyo anaweza kuvunja uchumba na wakati mwingine kusemasema kabla ya muda huwasababisha wale walio maadui zenu kuwazunguka kwa mbele na kupindua na ghafla unashangaa unakuta yule aliyekua rafiki yako wa karibu uliye kuwa unamshirikisha jambo hilo kakuzunguka na kukugeuzia kibao. Baada ya siku mbili tatu unaskia yuleyule mchumba wako anamvisha pete mchumba wako.
5.Kuwasikiliza watu wengine zaidi ya kumsikiliza MUNGU.
Hii inaweza kusababisha uchumba kuvunjika. ni vizuri kujifunza kumsikiliza MUNGU juu ya yule aliye kuongoza kwamba atafaa kuwa mwenzi wako wa ndoa badala ya kuwasikiliza watu wanasema nini juu ya wewe na mchumba wako. watu wanaweza kumtoa kasoro mfano mchumba mwenyewe hajasoma,ni mbaya,hana figa nzuri,mchafu,hamuendani, maskini na kasoro nyingi tu na hiyo husababisha uchumba kuvunjika
6.Kuchumbiana bila kumhusisha MUNGU.
Mlionana na kuvutiana pasipo kumhusisha MUNGU na kutangaza kwa watu na kuanza mipango ya kuoana ndipo mnakuja kugundua kumbe ilikuwa ni misisimko yenu tu wala MUNGU hakuhusika kabisa katika mchakato mzima wa uchumba wenu na matokeo yake uchumba wenu unavunjika na kuacha ukijiuliza maswali mengi.
7.kutumia muda mwingi katika uchumba kabla ya ndoa.
Kuna baadhi ya wachumba wanatumia muda mwingi sana kukaa katika mahusiano ya uchumba kwa malengo ya kusomana tabia au kuchunguzana au kusubiriana katika masomo nk. Hali hii hupelekea kuchokana katika mahusiano na kuwasababishia kuona kama huenda labda nilichagua mtu asiye sahihi. Baada ya kusoma na madhaifu mengi kwa muda mrefu mwisho uchumba huweza kuvunjika.
8.Roho ya haraka na kukosa uvumilivu.
8.Roho ya haraka na kukosa uvumilivu.
wengine wakichumbiana hupeleka mambo haraka haraka utadhani ni dharula, wengi huwa na hali ya kutokujiamini huenda kutokana na yaliyowapata siku za nyuma. labda walichumbiana na baada ya muda mfupi uchumba ukavunjika na kuacha majeraha makubwa hivyo hudhani hali hiyo itajirudia, katika kufanya mambo haraka huweza kusababisha hata huu uchumba kuvunjika.
9.Upinzani wa shetani ili ukose kilicho bora zaidi.
Kuvunjika kwa uchumba wakati mwingine kunaweza kusababishwa na ibilisi shetani ambaye ni mdau wa kwanza wa upinzani juu ya mafanikio ya wana wa MUNGU. Ndiyo maana tunahitaji sana kufunga na kuomba ili kuvunja na kuharibu kazi za shetani na mipango aanayotuwazia sisi katika maisha yetu.
10.Uchumba kuvunjika kwa sababu ya mapenzi ya MUNGU.
Sio kila kitu kinaweza kusababishwa na shetani, wakati mwingine MUNGU mwenyewe huingilia kati na kusababisha uchumba fulani kuvunjika kutokana na sababu za kimungu ambazo wakati mwingine kwetu sisi sio rahisi kuweza kuzijua kwa haraka mpaka wakati kamili wa MUNGU utimie au kusudi lake kujidhihirisha wazi. Ni vizuri kwetu sisi kama watu wa MUNGU kutafuta mapenzi ya MUNGU na kujua kwamba kuna wakati MUNGU mwanyewe anaweza kusababisha uchumba kuvunjika kwa ajili ya usalama wetu.
- kumbuka NDOA SAHIHI NI YA MKE MMOJA NA MME MMOJA {MWANZO 2:24}
- pia NI DHAMBI KWA WACHUMBA KUFANYA TENDO LA NDOA KABLA YA NDOA
- shetani ALIWADANGANYA ADAMU NA EVA KWA SABABU HAPENDI MAFANIKIO KWA WANA WA MUNGU na hata huwadanganya wachumba wengi ili watende dhambi kabla ya ndoa ili maisha yao ya ndoa yasiwe na baraka na pia ndoa hiyo haitakuwa na ulinzi wa MUNGU jambo ambalo ni hatari.
-MUNGU akubariki sana ndugu na kumbuka kama hujampatia YESU KRISTO maisha yako unatakiwa ufanye hivyo leo maana pasipo yeye hakuna uzima wa milele (Yohana 14:6) na ukimshirikisha yeye hata kwenye uchumba wako yeye ni ngome imara na atakushindia yote.

-MUNGU akubariki sana
Ni mimi ndugu yako Marko Maluli
Maisha ya ushindi .
Ni mimi ndugu yako Marko Maluli
Maisha ya ushindi .
Monday, March 5, 2018
Saturday, March 3, 2018
Mbowe: Hukumu ya Sugu ilipangwa hotelini na RC Makalla. TISS wanaratibu mikakati ya kutubambikia CHADEMA kesi
Diterbitkan March 03, 2018
Tags
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe Freeman Mbowe leo ataongea na Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari kabla ya kuelekea Central Polisi. Mkutano huo utaanza saa tano.
==============
Waandishi wa habari wameshafika Makao Makuu ya Chadema.
| Hatimaye Mhe. Freeman Mbowe aamua kuvunja ukimya anazungumza na Waandishi wa habari hivi sasa.
Mkutano huo upo #LIVE kupitia link hii==>>
=> Jambo hili sio la kushabikia ni hatari kwa taifa letu lazima tuchukue hatua.. Haya mambo hayakuwepo mwanzoni
=> Kuna mtu anaitwa Musiba anasema CHADEMA imepeleka zaidi ya vijana 500 kwenda kusoma Ujerumani, huyu ni mpumbavu tu. Anataja watu kama kama akina @YerickoNyerere_ sisi hatujasomesha watu
=> Usalama wa Taifa wanaratibu mikakati ya kutubambikia kesi wana CHADEMA. Sasa sisi tumejipanga kutokana na huo mkakati. Tunamwambia Mh. Rais Magufuli, sisi tuko tayari kwa lolote, tunapigania demokrasia.
=> Mkoa wa Morogoro unaongoza kwa kuwabambikizia kesi viongozi wetu wa CHADEMA. Lakini hata kwa mauaji, Mkoa huo unaongoza maana kuna historia ya watu wetu wa CHADEMA kuuwawa mkoani Morogoro
=> CHADEMA sio chama cha kigaidi. Serikali itambue kwamba hiki ni chama makini.
=> Watambue kwamba wataua vyama vya siasa lakini hawataua mioyo ya wanachama. Utaua CHADEMA au CUF lakini sio wanachama.
=> Tunamwambia Rais na wanaotekeleza mkakati huu kuwa hatutarudi nyuma, watawaumiza wengi lakini hawatakata tamaa.
=> Nitaongoza viongozi wenzangu sita kwenda kuripoti kama Jeshi la Polisi lilivyotutaka, ingawa tunajua yanayopangwa lakini hatutaogopa na wala kurudi nyuma.

Mwenyekiti Mbowe
=> Mauwaji yanayotokea na yanayoendelea kutoka Serikali inapotosha kwa kusema wanaofanya mauwaji hayo hawajulikani ni dhahiri mauwaji hayo Serikali inajua wanaofanya ukali huu.
=> Jana wakati tupo kwenye mazishi ya Godfrey J. Lweno Morogoro wananchi walikitaka Chama kitoe kauli ya kulipiza kisasi. Sasa tunaanza kuona jinsi gani wananchi wameshaanza kuchoka, Chadema tunalitakia mema Taifa hili ingawa watawala hawaoni umuhimu.
=> Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Bwana Amosi Amosi Makala anahusika kuratibu kesi ya Sugu (Joseph Mbilinyi). Wamekua wakifanya figisu ili Mbunge wetu afungwe
=> Hukumu ya Mbunge wa Mbeya Mjini ni dhahiri inaonekana kuwa watawala wanaendelea kuratibu mateso kwa viongozi wa Upinzani, na tuliofahamu mapema juu ya kilichoratibiwa na tulimkataa hakini lakini bado Hakimu aliendelea kusimamia kesi hiyo na dhamira yake mbaya.
=> Hukumu ya Sugu ilifahamika na ilipangwa Hotelini, wote tulifahamu, polisi walichukuliwa wilayani kwenda Mbeya mjini na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amosi Makala anajua hilo.
=> Jeshi la Polisi imempiga Akwilina risasi na kupoteza uhai wake lakini baadae wanaanza kugeuza kibao kwamba CHADEMA nao walikuwa na vikosi vyao.
=> Hivi sasa hivi tunavyoongea Jeshi la Polisi linawashikilia vijana waliopigwa risasi na hawajawapeleka Mahakani wala kuwapa huduma.
=> Roho ya ubinadamu haipo kwa watawala wetu. Unampiga mtu risasi ya moto halafu unamuweka ndani siku 13 bila kumpa matibabu stahiki. Humpeleki mahakamani lakini bado unamnyima dhamana.
=> Unatumiaje risasi za moto kuzuia waandamanaji tena ambao wanafanya maandamano ya amani. Kweli polisi unachukua bunduki unapiga risasi za moto kuzuia maandamano ya amani. Hii sio Tanzania tunayaoifahamu hii ni Tanzania ya Bwana Magufuli
=> Tunajua Jeshi la Polisi linawanyima dhamana wahanga waliopigwa risasi ili kuficha maovu ya Jeshi la Polisi na wanajua wakiwaachia waandishi mtawaona na mtawahoji hii sio Tanzania tunayoijua.
=> Hakuna wakati wowote wa Uchaguzi uliokua mbaya kama kipindi hiki cha marudio ya Uchaguzi. Basi angalau wangetuibia kura kwa akili kama ilivyokuwa zamani. Lakini Uchaguzi wa hivi karibuni, aisee tumetambua kuwa Mkurugenzi wa Tume anapewa maagizo na viongozi wake wa juu
=> Hizi chaguzi zitaendelea kuzaa maumivu kwasababu wenzetu wanafanya fujo za kila aina kwenye chaguzi na wanalindwa na Dolla kama hatua stahiki hazitachukuliwa tutaliingiza Taifa hili kwenye machafuko.
=> CCM kama wanataka kurudisha uhalali wao wa uongozi waseme na wananchi watawaelewa na sio kutumia bunduki kukatisha uhai wa watu. Halafu tumeshaanza kuzoea kuuwawa, hili jambo si zuri maana tunakoelekea ni kutaka kuua upinzani.=> Mauwaji yanayotokea na yanayoendelea kutoka Serikali inapotosha kwa kusema wanaofanya mauwaji hayo hawajulikani ni dhahiri mauwaji hayo Serikali inajua wanaofanya ukali huu.
=> Jana wakati tupo kwenye mazishi ya Godfrey J. Lweno Morogoro wananchi walikitaka Chama kitoe kauli ya kulipiza kisasi. Sasa tunaanza kuona jinsi gani wananchi wameshaanza kuchoka, Chadema tunalitakia mema Taifa hili ingawa watawala hawaoni umuhimu.
=> Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Bwana Amosi Amosi Makala anahusika kuratibu kesi ya Sugu (Joseph Mbilinyi). Wamekua wakifanya figisu ili Mbunge wetu afungwe
=> Hukumu ya Mbunge wa Mbeya Mjini ni dhahiri inaonekana kuwa watawala wanaendelea kuratibu mateso kwa viongozi wa Upinzani, na tuliofahamu mapema juu ya kilichoratibiwa na tulimkataa hakini lakini bado Hakimu aliendelea kusimamia kesi hiyo na dhamira yake mbaya.
=> Hukumu ya Sugu ilifahamika na ilipangwa Hotelini, wote tulifahamu, polisi walichukuliwa wilayani kwenda Mbeya mjini na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amosi Makala anajua hilo.
=> Jeshi la Polisi imempiga Akwilina risasi na kupoteza uhai wake lakini baadae wanaanza kugeuza kibao kwamba CHADEMA nao walikuwa na vikosi vyao.
=> Hivi sasa hivi tunavyoongea Jeshi la Polisi linawashikilia vijana waliopigwa risasi na hawajawapeleka Mahakani wala kuwapa huduma.
=> Roho ya ubinadamu haipo kwa watawala wetu. Unampiga mtu risasi ya moto halafu unamuweka ndani siku 13 bila kumpa matibabu stahiki. Humpeleki mahakamani lakini bado unamnyima dhamana.
=> Unatumiaje risasi za moto kuzuia waandamanaji tena ambao wanafanya maandamano ya amani. Kweli polisi unachukua bunduki unapiga risasi za moto kuzuia maandamano ya amani. Hii sio Tanzania tunayaoifahamu hii ni Tanzania ya Bwana Magufuli
=> Tunajua Jeshi la Polisi linawanyima dhamana wahanga waliopigwa risasi ili kuficha maovu ya Jeshi la Polisi na wanajua wakiwaachia waandishi mtawaona na mtawahoji hii sio Tanzania tunayoijua.
=> Hakuna wakati wowote wa Uchaguzi uliokua mbaya kama kipindi hiki cha marudio ya Uchaguzi. Basi angalau wangetuibia kura kwa akili kama ilivyokuwa zamani. Lakini Uchaguzi wa hivi karibuni, aisee tumetambua kuwa Mkurugenzi wa Tume anapewa maagizo na viongozi wake wa juu
=> Hizi chaguzi zitaendelea kuzaa maumivu kwasababu wenzetu wanafanya fujo za kila aina kwenye chaguzi na wanalindwa na Dolla kama hatua stahiki hazitachukuliwa tutaliingiza Taifa hili kwenye machafuko.
=> Jambo hili sio la kushabikia ni hatari kwa taifa letu lazima tuchukue hatua.. Haya mambo hayakuwepo mwanzoni
=> Kuna mtu anaitwa Musiba anasema CHADEMA imepeleka zaidi ya vijana 500 kwenda kusoma Ujerumani, huyu ni mpumbavu tu. Anataja watu kama kama akina @YerickoNyerere_ sisi hatujasomesha watu
=> Usalama wa Taifa wanaratibu mikakati ya kutubambikia kesi wana CHADEMA. Sasa sisi tumejipanga kutokana na huo mkakati. Tunamwambia Mh. Rais Magufuli, sisi tuko tayari kwa lolote, tunapigania demokrasia.
=> Mkoa wa Morogoro unaongoza kwa kuwabambikizia kesi viongozi wetu wa CHADEMA. Lakini hata kwa mauaji, Mkoa huo unaongoza maana kuna historia ya watu wetu wa CHADEMA kuuwawa mkoani Morogoro
=> CHADEMA sio chama cha kigaidi. Serikali itambue kwamba hiki ni chama makini.
=> Watambue kwamba wataua vyama vya siasa lakini hawataua mioyo ya wanachama. Utaua CHADEMA au CUF lakini sio wanachama.
=> Tunamwambia Rais na wanaotekeleza mkakati huu kuwa hatutarudi nyuma, watawaumiza wengi lakini hawatakata tamaa.
=> Nitaongoza viongozi wenzangu sita kwenda kuripoti kama Jeshi la Polisi lilivyotutaka, ingawa tunajua yanayopangwa lakini hatutaogopa na wala kurudi nyuma.
Friday, March 2, 2018
Nimelamba mchepuko wa dingi,kanipa mambo matamu sijawahi pewa toka nianze mapenzi,,,,Hautaki tuachane.......
Diterbitkan March 02, 2018
Tags
Nimekamatwa katikati ya penzi zito la mchepuko wa dingi yangu, Ipo hivi mimi nimeoa kwa miaka miwili sasa naishi Mwanza
wazazi wangu pia wanaishi hapa hapa Mwanza kwa takribani mwaka na kitu. Wamekua kwenye mgogoro mzito sana kuhusu huo mchepuko ambapo mzee kwa sasa anarudi home once in a week, siku zilizobaki zote analala kwa huo mchepuko ambao ameupangisha nyumba ya gharama kubwa na thamani za ndani pia.
Kwa kweli kachanganyikiwa vibaya juu ya huo mchepuko yaani ingekua bado tuna mhitaji kifedha labda bado tupo shule na kadhalika sieleewi ingekuaje. Cha kushukuru mungu wote tunafamilia zetu sasa hivi juzi kati kama miezi mitatu hivi dingi aliniuliza hivi ni lini utamfahamu mama yako mdogo maana wewe ndio mtoto wangu pekee wa kiume, nikamwambia mzee ni wewe tu, ukiwa tayari nipeleke dada zangu wote waligombana na mzee hivyo hawaongei kisa ni ugomvi wa wazazi kuhusu huo mchepuko hadi mama alipata ugonjwa wa hypertension juu ya huo mchepuko.
Nikapelekwa kuuona huo mchepuko, ila yy mwenyewe anatumia jina mama mdogo, kufika pale mtoto ni mkali sijaona, ni mweupeee utadhani Mwarabu, kiuno chembamba halafu wowowo hilo, kapiga kigauni hicho paja zote nje nikaambiwa mwamkie mamdogo huku umri anaonekana kulingana na mdogo wetu wa mwisho ambae pia ameolewa. Akamwambia binti hili ndo jembe langu peaneni namba za simu maana ikitokea nimeanguka huku huyu ndo unampigia simu kumtaarifu maana mzee ana medical condition flani hivi anaishi kwa masharti.
Mara kwa mara tumekua na mawasiliano na yule binti kwa mambo mbali mbali nimezoea kwenda pale hata kama Mzee hayupo kumsalimia, maana binti hulaumu mbona huji hata kunitembelea n.k. One day Mmee alikua nje ya Mwanza akanitumia list ya vitu nivinunue nimpelekee yule binti huwa hataki kabisa atoke. Nilipofika akatoa pombe kali akanipa yeye akawa anakunywa Dompo sikuwahi kunywa pombe kabla. Muda ulivyozidi kwenda tukaanza michezo ya kilevi, mara kuvutana na kadhalika kuja kustuka tupo dunia nyingine.
Nilishangaa ananivua nguo kama ugomvi vile mwisho tukawa tumeoana kwenye kochi pale.Nikiri tu wazi tangu kufahamu mapenzi mazito kama yale, kiuno kinazungushwa huwezi kama pana mfupa pale. Tuliendelea kufanya mchezo huo mara kwa mara, wakati mwingine natoroka kazini mchana naenda.Kwa kweli hata mke wangu anaachwa mbali sana na huyu binti kwa mambo hayo. Hata kabaang ambayo sikuwahi kufanya ndo nilipata for first time ni tamu mno nililia kama mtoto mdogo.
Hivi sasa nataka kujinasua nimeona naelekea kubaya, maana wife ameona mwenendo wangu umebadilika kwa hiii miezi mitatu ingawa mzee hana habari. Ila binti ndo amekua msumbufu hataki tufike mwisho. Mimi conscious ndo inanishtaki hasa kwa wife.Hata kwenda kwenye ibada nimeacha kwenda ikifika jumapili natafuta kisingizio chochote ili nisiende kwa sababu naona nafanya kazi bure kwa dhambi ya uzinzi na pombe ambavyo vyote nilikua sivifanyi kabla. Nimekuja kwenu mnisaidie nawezaje kuacha. Maana hata mzee akijua itakua balaa maana alishasema anataka kumuoa bomani
Help please

MAPENZI MATAMU.......MSICHANA ANGALIA NJIA 18 ZA KUMSHIKA KIDUME WAKO
Diterbitkan March 02, 2018
Tags
I was single once, but now i'm a wife and a mother. Nimekaa nikaona sio vibaya iwapo nta-share tips kadhaa zilizonisaidia kumuweka baba watoto sawa na mpaka leo hii sijawahi kuhisi wala kugundua kwamba anatoka nje ya ndoa yetu, japo matatizo ya hapa na pale hayakosekani ila tumedumu na bado tunaendelea na safari.
Unapokutana na mwanaume akakutongoza/mwanamke akakukubalia kuna uwezekano mkubwa kuwa amevutiwa na wewe kweli au kakutamani tu. Kitu ambacho watu hua wanasahau ni kwamba hata mtu aliyekutamani tu unaweza ukampa mwongozo/sababu mpaka mwenyewe akajikuta anakupenda kuliko ambavyo angeweza kutarajia kwamba angewahi kupenda. Ndio maana hata wale waitwao 'bad girls/boys' hua wanajikuta wamenaswa na kunasika at some point.
1. Usiigize.
Maigizo waachie wasanii wetu, kuwa vile ulivyo kweli kimaisha/kitabia (isiwe mbaya)/mazoea n.k
2. Don't move too fast/act desperate.
Usitumie ule muda wa mwanzo kabisa wa mahusiano yenu kutaka kujua "una malengo gani na mie?" "utanioa?" "Kanitambulishe/nataka nikakutambulishe." n.k Mpe nafasi ya kukusoma na kupata kujua wewe ni mtu wa aina gani, je unafanania na mwanamke ambae angependa kuwa nae kwa muda mrefu, possibly hata ndoani? Na wewe nawe tumia muda huo kufanya kitu hicho hicho.
3.Don't be too demanding.
Huyo sio baba yako wala sio mume just yet, hivyo chochote atakachokufanyia kinatokana na yeye kutaka/kupenda kufanya hivyo na sio kwakulazimika. Haki hiyo hauna.
4. Kuwa na shukurani.
Learn to appreciate all that he does for you, that way ataona umuhimu wa hayo anayokufanyia, yawe makubwa au madogo.
5. Be real.
Badala ya kufika kwake na kuanza kushangaa anaishije bila ya mfanyakazi wa ndani huku ukitamba kuwa wewe huwezi, shangaa anawezaje weka nyumba yake katika hali nzuri mwenyewe bila ya msaada. Hii itaonyesha fika wewe utakua mke wa aina gani hapo baadae, kama ni wale wakukaa miguu juu huku wakiagiza hata maji waliyoombwa na mume au la.
6. Learn to cook if you don't know how to.
Waliosema "the way to a man's heart is through his stomach" hawakukosea. Ukiachilia mbali wale watu wachache wanaokula ili kushiba wengi hua wanajali ladha. Hiyo ndio hua inawaongezea hamu ya kula na kuwarudisha nyumbani mapema pia kuwafanya wakumiss pale inaposhindikana kula chakula chako . Kwakumwonyesha mwanaume kwamba hata tumbo lake unaweza kuliridhisha unamwongezea sababu za kukuweka kwenye maisha yake.
7. Mheshimu.
Mpe heshima yake kama mwanaume wako ila usimwogope. Wengine wote usiwape nafasi kumfanya ajisikie kwamba haheshimiki.
8. Kuwa ngao yake.
Inapotokea anakumbwa na matatizo yoyote yale onyesha utayari wa wewe kuwa pamoja naye kwa hali na mali mpaka yatakapoisha. Pia usikose kumjali kumpa moyo pale unapoona inahitajika.
9. Kuwa muwazi.
Kama kuna mambo ambayo unajua moja kwa moja yatakuwa sehemu ya mahusiano yenu (watoto/X mkorofi .nk) mweleze mapema ili aamue kama yuko tayari kudeal nayo au la.
10. Usiwe na chuki.
Kikifika kipindi cha yeye kukutambulisha kwa ndugu na rafiki zake onyesha ushirikiano. Usionyeshe chuki wala kujiona kana kwamba wewe ndio wewe.
11. Give your all.
Kama na nyie mtaamua kuonjeshana tunda kabla (kama ambavyo wengi wanafanya karne hii) basi kuwa mbunifu, mtundu na usiwe mvivu.
12.Pendeza.
Vaa/onekana vizuri unapokuwa nje hata ndani pia. Usisahau kuzingatia/jali hisia zake kuhusu mavazi
yako.
13. Onyesha interest kwa yale ayapendayo yeye.
Usiwe mbinafsi kila siku unataka kusikilizwa wewe tu na story/mambo utakayo wewe. Uliza/jua kuhusu yale anayopenda yeye mf. mpira/siasa.
14.Kuwa mtulivu.
Usiwe mtu ambae kila saa simu yako inapigwa pigwa na wanaume wasio ndugu wala marafiki wakaribu na wanaoeleweka. Discpline ni muhimu sana.
15.Usimzonge.
Usiwe mmoja wa wale watu wanaofuatilia wenzi wao masaa yote wanapokuwa hawapo pamoja. Mpe nafasi ya kuwa na marafiki zake bila kuhitaji kuzima simu ama ku-ignore simu/text zako.
16. Mfurahishe/chekeshe.
Joke around sio muda wote yeye ndio awe wakukufurahisha wewe.
17. Jifunze kusamehe.
Mambo madogo madogo yanapoombewa msamaha samehe na uache yapite.
18. Mshirikishe Mungu wako.
Ukishaona kwamba huyo ndie basi mshirikishe yule unayemwamini ili upate mwongozo wa kiroho.
Subscribe to:
Posts (Atom)