Limekuwa ni jambo ambalo kila kukicha watumishi wadimu tanashati(smartphone)kujiuliza ni jinsi gani wanaweza kuzipata simu zao zilizo potea au kuibiwa sasa sulihisho limepatikana unaweza kuitafuta kwa njia zifuatazo:-
1.kitu ambacho wengi wanashindwa ni kutokuwa na E-mail,hakikisha una email yako
2.Nenda kwenye simu yako katika setting ukiangalia vizuri kwa chini utakuta neno limeandikwa LOCATION
3.Click neno hilo halafu angalia vizuri simu nyingi wameweka OFF
4.Hapo ilipoweka OFF wewe click ili uweke ON(kuwasha) hapo utakuwa umemaliza hata ukiibiwa unaweza kuitafuta
Sasa kama simu yako imepotea au kuibiwa waweza Fanya yafuatayo:-
1.chukua simu ya rafiki ako au MTU yeyote ila iwe smartphone ,sinauhakika na simu za kubofya (button) kama zinaweza
2.Nenda kwenye GOOGLE andika neno hili MY PHONE LOST halafu search
3.Italeta maneno mengi sana ila neno LA mwanzo kabisa juu ndo bofya hilo
4.Itakuletea ulogin katika E-mail hakikisha unaandika email yako ,kama mtumiaji wa simu hiyo alikuwa amelogin hakikisha unalogout halafu unaweka yako
5.Baada ya email yako kufunguka Italeta taarifa zako zote za gmail na aina ya simu uliyokuwa unatumia
6.Itaoneaha Mara ya mwisho imetumika lini na ni nchi/eneo gani ,sasa hapo inaweza uamue wewe uifungie hiyo simu ili aliyechukua asiitumie kabisa (iwe kama kopo kwake) au inaweza mpigia moja kwa moja.
Nawatakia utekelezaji mwema
Asanteni sana kwa kusoma makala hii kama unaswali waweza kuuliza
Instagram napatikana kwa jina la professormaluli.
EmoticonEmoticon